TANGAZO LA NAFASI YA MASOMO NA KAZI,CHUO KIKUU KISHIRIKI CHA JOSIAH KIBIRA (JoKUCo) CHA CHUO KIKUU CHA TUMAINI MAKUMIRA
JOSIAH
KIBIRA UNIVERSITY COLLEGE
OF
TUMAINI UNIVERSITY MAKUMIRA
P.O.BOX 1023
BUKOBA, TANZANIA
TEL.+255732983642;+255732983643; FAX
+255732983644
Email: jokuco@ac.tz;
website:www.jokuco.ac.tz
30.07.
2012
NAFASI YA MASOMO NA
KAZI:
MKUU WA CHUO
KIKUU KISHIRIKI CHA JOSIAH KIBIRA (JoKUCo) CHA CHUO KIKUU CHA TUMAINI MAKUMIRA
ANAKARIBISHA MAOMBI YA:
(1)
KUJIUNGA NA CHUO KWA MWAKA WA MASOMO 2012/2013 KWA KOZI YA STASHAHADA YA
TEKIHAMA KATIKA MAWASILIANO (DIPLOMA IN INFORMATION TECHNOLOGY-DIPL.
IT)
KWA WANAOOMBA
KOZI HII FOMU ZINAPATIKANA KWENYE TOVUTI YA CHUO www.jokuco.ac.tz NA PIA KUTOKA OFISI YA
MDAHILI, JoKUCo, P.O.BOX 1023, BUKOBA, TANZANIA
MWOMBAJI AWE NA SIFA
ZIFUATAZO:
(A) KREDITI 3 (THREE CREDITS) AU PASI 5 KATIKA CHETI CHA KIDATO CHA NNE
NA CHETI CHA KIDATO CHA SITA CHENYE UFAURU WA KUANZIA “PRINCIPLE PASS” MOJA NA
“SUBSIDIARY PASS” MOJA. AIDHA, MWOMBAJI AWE AMEPATA “PASS” KATIKA HESABU AU
FIZIKIA KATIKA CHETI CHA KIDATO CHA NNE AU “SUBSIDIARY PASS” YA HESABU AU
FIZIKIA KATIKA KIDATO CHA SITA AU
(B) AWE NA CHETI CHA TEKINOLOJIA NA HABARI (INFORMATION TECHNOLOGY-IT)
CHENYE “UPPER SECOND CLASS LEVEL” AU ZAIDI.
-FOMU ZA MAOMBI ZINAPATIKANA KWENYE TOVUTI YA
CHUO www.jokuco.ac.tz na pia kutoka ofisi
ya Mdahili, JoKUCo, P.O. Box 1023, Bukoba, Tanzania.
-MAOMBI YATUMWE KWA MDAHILI WA CHUO, JoKUCo,
BOX 1023, BUKOBA,TANZANIA
-MWISHO WA KUTUMA MAOMBI NI TAREHE
17.08.2012.
(2) MAOMBI KWA AJILI YA WAHADHIRI KATIKA CHUO
KIKUU KISHIRIKI CHA JOSIAH KIBIRA YANAKARIBISHWA. WAOMBAJI WAWE NA SHAHDA YA
UZAMILI (YENYE WASTANI WA B+) AU UZAMIVU KWA AJILI YA KUFUNDISHA MASOMO YA
UALIMU, HISTORIA, JIOGRAFIA, KISWAHILI, KIINGEREZA, KIFARANSA, TEKINOLOJIA NA
HABARI, MAENDELEO, IMANI NA MAADILI. MAOMBI YATUMWE KWA MKUU WA CHUO, S.L.P
1023, BUKOBA.
MAOMBI YATUMWE NA VIVULI VYA VYETI PAMOJA NA
C.V YA MWOMBAJI
-MWISHO WA KUTUMA MAOMBI HAYO NI 23.08.2012.
WAHADHIRI WA KUFUNDISHA MASOMO YA SAYANSI KWA
MWAKA WA MASOMO UJAO, MAOMBI YAO YANAKARIBISHWA PIA. MWISHO WA KUTUMA MAOMBI YAO
NI MACHI 2013.
Makamu wa Mkuu wa Chuo Taaluma, Utafiti na
Ushauri
k.n.y MKUU WA CHUO
0 comments:
Post a Comment