![]() |
| Afisa Uhamasishaji Tanzania Red Cross Society, Bi. Stella Marealle akifundisha histori ya Chama Cha Msalaba Mwekundu na uasisi wake. |
![]() |
| Washiriki wakifuatilia kwa makini semina hiyo iliyofanyika jijini Mwanza leo. |
![]() |
| Mratibu wa mkoa wa Mwanza Pauline Kilele ambaye ni mmoja wa wawezeshaji toka Chama Cha Msalaba Mwekundu akielezea kanuni za chama hicho. |
![]() |
| Washiriki wakifuatilia kwa makini semina hiyo iliyofanyika jijini Mwanza leo. |
![]() |
| Media Officer wa ICRC Kenya Lynett Kaman akielezea mahusiaano ya Vyombo vya Habari na huduma za Kibinadamu. |
![]() |
| Fredrick Katulanda ambaye ni mwandishi mwandamizi wa Mwananchi Communication akifundisha juu ya wajibu wa vyombo vya habari katika huduma za kibinadamu. |
![]() |
| SSP Afande Rashid akiuliza maswali juu ya uhusika wa vyombo vya habari katika utoaji huduma za kibinadamu. |
![]() |
| Mwenyekiti wa Tanzania Red Cross Society Mwanza akizungumza na washiriki kwenye ufunguzi uliofanyika leo jijini Mwanza na kushirikisha wanahabari Kanda ya Ziwa. Chanzo:GSENGO.BLOSPOT.COM |











0 comments:
Post a Comment