Subscribe:

search

.

Monday 13 August 2012

RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE ALIPOREJEA KUTOKA KWENYE MAZISHI GHANA NA KUWAKARIBISHA WATOTO YATIMA IKULU KWA FUTARI


Rais Aliporejea kutoka Ghana

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Said Meck Sadik muda mfupi baada ya kuwasili akitokea nchini Ghana ambapo alishiriki mazishi ya aliyekuwa Rais wan chi hiyo Marehemu John Atta Mills.Kushoto ni Mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama Jenerali Davis Mwamnyange.Rais Dkt.




Jakaya Mrisho Kikwete na Mkewe Mama Salma Kikwete wakigawa zawadi kwa watoto yatima na walemavu walohudhuria futari waliyowaandalia ikulu jijini Dar es Salaam jana jioni.

0 comments: