search

.

Saturday, 18 August 2012

ARSENAL YAKAMILISHA MAKUBALIANO NA FC BARCELONA JUU YA UHAMISHOWA ALEX SONG.
Arsenal FC inaweza kusema kwa hakika kwamba imekamilisha makubaaliano na FC Barcelona juu ya uhamisho wa Alex Song.

Song anatarajiwa kusafiri kuelekea Catalan kukubaliana na FC Barcelona juu ya makubaliano binafsi na wakatalunya hao juu ya uhamisho wake.
Picha kwa hisani ya Arsenal.com

0 comments: