search

.

Friday, 10 August 2012

BREAKIG NEWS: KUNA TAARIFA KWAMBA MABASI ZAIDI YA MAWILI YAMEGONGANA LIKIWEMO BASI LA SHABIBI MAKUNYANGA DODOMA.

Kwa taarifa zilizotufikia hivi punde inasemekana kwamba kuna ajali mbaya ya mabasi zaidi ya mawili likiwemo Shabibibi yaliyogongana maeneo ya Makunganya Dodoma.

Habari kamili itafuata huvi karibuni.
Mungu wape nafuu majeruhi wote.

0 comments: