search

.

Tuesday, 14 August 2012

MAALIM SEIF SHARIF ATAKA MUUNGANO UVUNJWEMaalim Seif Sharrif amependekeza Muungano uvunjwe ili Zanzibar irejeshewe kiti chake katika Umoja wa Mataifa.Kama ilivyokuwa kabla ya Muungano. Akizungumza Jana na wafuasi wa CUF Pemba, alisema Tanzania itapata katiba mpya mwaka 2014, ambapo kwa upande wa Zanzibar Mchakato Huo unawahusu wananchi mmoja mmoja katika swala la Muungano na marekebisho yake. Akasema wakati umefika kwa Wazanzibar kurejesha kiti hicho ambacho kilikuwepo kabla ya Muungano.
Chanzo:Habari leo.

0 comments: