search

.

Wednesday, 15 August 2012

OPERESHENI SANGARA IKIVUNA WANACHAMA WAPYA ULANGA MASHARIKI
Wapenzi na Washabiki wa Chadema wakijiandikisha na Kuchukua kadi mpya za uanachama Ulanga Mashariki, Kijiji cha NkonongoPicha Zote na CHADEMA

 Katibu Mkuu wa BAVICHA taifa Bw Deo Munisi akiwa na Mkuu wa shule kijijini Nkonongo wakiangalia hali halisi ya ubora wa shule ilivyo.
Katibu Mkuu wa BAVICHA taifa Bw Deo Munisi akiwa na Mkuu wa shule kijijini Nkonongo wakiangalia hali halisi ya ubora wa shule ilivyo.

Picha Zote na CHADEMA
chanzo:Mjengwablog.com

0 comments: