search

.

Sunday, 12 August 2012

PAPAA MUSOFE KIZIMBANI KWA TUHUMA YA MAUAJI
Huyu hapa Papaa musofe, mfanyabiashara maarufu sana Jijini Dar Es Salaam amabaye Ijimaa ya tarehe 10.Aug 2012 alipandishwa kizimbani kwa tuhuma za mauaji katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.
Papaa Musofe anatuhumiwa kumuua mfanyabiashara ya madini Ndugu Onesphory Kituli mnamo 06 Novemba 2012. hata ivyo Papaa hakutakiwa kujibu kusema chochote kwan mahakama hiyo haina uwezo wa kusikiliza kesi hiyo.

0 comments: