search

.

Wednesday, 22 August 2012

TANZANIA IMEKUWA KISIWA CHA AJALI!Taarifa za kipolisi zinaonyesha kuwa kati ya mwaka 1994 na 2005,ajali zilikuwa 167,059 na ziliuwa watu 21,001.na kuwa tangia hapo kuna ongezeko la ajali kwa asilimia 60.ni lini tutaondokana na ajali hizi?

0 comments: