search

.

Tuesday, 21 August 2012

TASWIRA ZA IGUNGA JANA

 Vijana wakitoka Nzega kwa baiskeli walikokwenda kusikiliza hukumu
Wananchi walifurika kwenye ofisi ya CHADEMA Igunga kusherehekea muda mfupi tu baada ya kusikia ushindi mahakamani

0 comments: