search

.

Thursday, 9 August 2012

MSANII ROMA AKIZUNGUMZIA AJALI YAKE
WAZ BAD (D.A.N.G.E.R) ACCIDENT!!! NI VILE TU MUNGU ALISEMA NO!!!(tuendelee kuishi) OTHERWS INGEKUWA NDO BABA JENNY BYE BYE... NASEMA ASANTE MUNGU JINA LAKO LITUKUZWE MILELE YOTE!! THANX MY MAMA, MY FAMILY, KWA MAOMBI YENU KTK KIPINDI HIKI KIGUMU(nimemaliza salama mungu awazidishie pale mlipopungukiwa) THANX TO MY BEBY(a alwayz kaunting on u kisses lav lav) THANX TO MA' HOME BOY DICKY (a guy tuliyepata naye ajali-...pole bro sikuweza kuushinda usukani ule, ulinizidi nguvu..aaaah sitaki hata kukumbuka, bt thanx ulikuwa jasiri sana, naikumbuka ile biblia uliyoichukua pale mezani home wakati tunaanza safario na kuiweka kwenye begi ukisema itatusaidia njiani, nikakwambia thatz ma boy...nw u see?) THANX KWA ASKARI WALE WA BARABARANI MLITENDA VEMA KAZI YENU (familia zenu zibarikiwe sana)THANX KWA DEREVA YULE WA SCANIA TULIYE COLLIDE NAYE (ulijitahidi sana kunikwepa
otherws ningekuvaa uso kwa uso malaika mlinzzi alikuwa na sisi, pole pia kwa kuumia kwa gari yako tuliyamalizza salama na awish 1day tukutane tena lakini isiwe kwa ajali....hahahaha at least nacheka sasa, asante bro)THANX KWA WANAKIJIJI WALE(dat kaka mwenye rasta mungu akulipe sana, ulikuwa wa kwanza kufika eneo la tukio, nakumbuka ulipofika tu ulishtuka na neno la kwanza lilikuwa aah kumbe ni roma, umetusaidia sana ubarikiwe pamoja na raia wote wa pale kwa kutulinda sisi na mali zetu hatukuibiwa chochote!!)AJALI NI MAFUNDISHO TOSHA DAT ANYTHING CAN HAPPEN AT ANY TYM "t" SO NIMEJIFUNZA PIA...THANX KWA DJ CHOKA(u knw hw we do son, nakumbuka kuna m2 aliuliza pale hampo na choka hapa?hahaha nikamjibu aaah choka kijukuu cha mtume akikataa show ujue kifuatacho ui.t.v ni majanga.com hahaha tuklicheka wote pale tukijaribu kusahau na kufuta huzuni ze2)THANX KWA MANECK(neke boi A.M REC..u playd yo part ninja!!) THANX TUNDA MAN(pengine usingenipa hii safari ya ngwangwangwa la moro pengine yasingetokea haya,ila hukuwa unayajua, ungeyajua ungenambia nisiende,thanx kwa ukarimu wako kwangu ubarikiwe ktk kazi zako kaka)THANX MA BUSINESS PARTNER IZZO B(we alwyz like family, yo' ze only 1 uliyejitoa zaidi ktk hili yo' ma braza frm anaza mam.a lav dis mbeya city kid)THANX KWA TONGWE REC FAMILY, J...MURDER(my office, lav yenu idumu milele yote, ni mitihani tu hii ilipangwa itoke kwa sababu maalum..lav u tongwe)....LAST BT NAT LEAST NASEMA ASANTE KWA WOTE MLIOKUWA NAMI KWA KUNIFARIJI, KUNIPA POLE, KUNIOMBEA NA VYOTE VEMA! IMENISAIDIA SANA NA IMENIPA MOYO NA MUNGU AWABARIKI NA KUWAONGEZEA PALE MLIPOPUNGUKIWA...(mashabiki, wapenzi wangu, marafiki, jamaa, wasanii,wadau wa mziki,ndugu na wale wote...INAWAHUSU!!)

JANA NA LEO ZINAIJENGA KESHO, JIPANGE SASA, USISUBIRI IKUKUTE...NENO NINGE HUJA BAADA YA DIZASTA.............
R.O.M.A. 2030

Chanzo: This day Magazine

0 comments: