search

.

Thursday, 11 October 2012

BAADHI YA PICHA ZA MECHI KATI YA YANGA NA TOTO HIZI HAPATimu zote mbili zinakaguliwa


Wanahabari wakikimbizana na matukio timu zikiendelea kukaguliwa


Uwanja wa Kirumba ukiendelea kushona watu


Hawa ni wachezaji wa Toto.


Dar Yanga Africans


Bao la kwanza la Yanga lililofungwa na Mchezaji Kavumbag


Yanga wakishangilia Bao la pili lililofungwa na Twite
You might also like:

0 comments: