search

.

Thursday, 11 October 2012

MWILI WA ALIYEZIKWA HAI WAFUKULIWA

Mwili wa ajuza wa miaka 95 anayedaiwa kuzikwa akiwa hai na jamaa zake umefukuliwa huku kukiwa na dalili huenda mwendazake aliuawa na maiti yake kukatwa katwa na kisha kuwekwa kwenye gunia. Wimbi kubwa la simanzi lilighubika kijiji chote cha Ndumba,kilichopo katika kata ya Kirinyaga wakati maiti hiyo ikifukuliwa.

0 comments: