search

.

Tuesday, 9 October 2012

RIPOTI YA UCHUNGUZI WA KIFO CHA MWANGOSI IKIKABIDHIWA KWA DKT EMMANUEL NCHIMBI


Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Uchunguzi ambaye pia ni Mhariri Mtendaji Mkuu wa Mwanachi Communications Ltd (MCL) Theophil Makunga (kulia) akimkabidhi Waziri wa Mambo ya Ndani, Dkt. Emmanuel Nchimbi ripoti ya Kamati aliyoiundwa kuchuguza kifo cha aliyekuwa mwandishi wa Channel Ten mkoani Iringa, Daudi Mwangosi .Kulia ni Mjumbe wa kamati hiyo, Naibu Kamishna wa Polisi (DCP) Issaya Mngulu. Mkabidhiano hayo yalifanyika jijini Dar es Salaam jana. Picha na Rafael Lubava

0 comments: