search

.

Tuesday, 9 October 2012

SERIKALI YASEMA UWEKEZAJI WA BARRICK WALETA MANUFAA


Naibu Waziri wa Nchi kwenye Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira) Charles Kitwanga (wa tatu kushoto) na Naibu Waziri wa Nishati na Madini Mh. Stephen Masele (kulia) wakizindua kisima cha maji katika kijiji cha Nyaisangero wilaya ya Tarime mkoa wa Mara. Kisima hicho kimejengwa na Kampuni ya African Barrick Gold’s (ABG) katika Mgodi wa North Mara ikiwa ni sehemu ya kuendeleza miradi ya jamii.
Naibu Waziri wa Nishati na Madini Mh. Stephen Masele (wa pili kulia) akitembelea Hospitali ya Sungu Sungu wilayani Tarime mkoani Mara, baada ya Kampuni ya African Barrick Gold’s (ABG) North Mara kutumia takriban zaidi ya shilingi milioni 500 kukarabati na kuiboresha. Kulia ni ABG’s Vice President for Corporate Affairs Deo Mwanyika, Naibu Waziri wa Nchi kwenye Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira) Charles Kitwanga (wa tatu kulia) na Meneja Mkuu wa Mgodi wa North Mara Gary Chapman
Naibu Waziri wa Nchi kwenye Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira) Charles Kitwanga akizungumza na waandishi wa habari baada ya ziara yake ya hivi karibuni katika mradi wa North Mara.
 

0 comments: