search

.

Tuesday, 9 October 2012

AJUZA AZIKWA AKIWA HAI


Katika  tukio ambalo pengine  linaweza kuwa la  ajabu kwako lakini  ukweli ni kuwa  kitendo kilichofanywa  na  mkazi mmoja  wa kijiji cha ndumbaa huko nchini Kenya kumzika  akiwa hai mama yake mzazi aliyekuwa tayari na umri wa 90 kimegeuka kuwa  kivutio kilichowafanya wageni wengi nchini humo kufika  katika  kijiji hicho kutaka  kupata  ukweli juu ya kile  wanachokisikia mitaaani .    
                               BONYEZA PLAY KUSIKILIZA ZAIDI

0 comments: