search

.

Friday, 17 August 2012

GARI LA WAFUNGWA AKA KARANDINGA LASABABISHA AJALI JIJINI MWANZALeo jioni wakazi wa jiji la Mwanza wamepata adha mara baada ya barabara muhimu ya Kenyata kufungwa kwa muda katika muda mbaya wa kurejea kutoka makazini mara baada ya karandinga la jeshi la polisi lililokuwa likitokea mahakamani kuelekea gereza la Butimba, likiwa na mahabusu kusababisha ajali mara baada ya kupoteza uelekeo .

Chanzo:Gsengoblog.com

0 comments: