search

.

Wednesday, 15 August 2012

MANCHESTER WAKAMILISHA MAKUBALIANO KWAAJILI YA UHAMISHO WA VAN PERSIE KAMA WALIVYOTAKWA NA ARSENALManchester UTD Wamekamilisha matakwa ya club Ya Arsenal ili kufanikisha uhamisho wa Van Persie mshambuliaji machachari na bora kwa msimu uliokwisha nchini Uingereza. hiyo inamaanisha kwamba vilabu hivi viwili vimekubaliana kuhusu Uhamisho wa Mchezaji huyu. Kilichobaki ni Mchezaji mwenyewe Van Persie kukamilisha makubaliano yake na Club ya Manchester ambapo anatarajiwa kuelekea Manchester siku ya Alhamisi ili kukamilisha makubaliano hayo. Ada yake inasemekana kuwa Paundi Millioni 24.

0 comments: