search

.

Friday, 17 August 2012

NAPE AFUTURISHA MOROGORO

 Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye jana aliandaa futari  kwenye ukumbi wa shule ya sekondari ya Forest kwa ajili ya mabalozi wa nyumba kumi na baadhi ya viongozi wa CCM kutoka wilaya za mkoa wa Morogoro jioni hii ya jana Agosti 17, 2012.
Picha na Bashir Nkoromo

0 comments: