Subscribe:

search

.

Saturday 18 August 2012

RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE NA RAIS WA MALAWI WAKUTANA KUJADILI SWALA LA MGOGORO WA ZIWA NYASA



Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akikutana na Rais wa Malawi Mhe. Joyce Banda mjini Maputo Msumbiji leo asubuhi kuzungumzia kutafuta suluhu katika mgogoro wa mpaka kati nchi hizo uliopo kwenye ziwa Nyasa.
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na Rais wa Malawi Mhe. Joyce Banda na wameelezea nia ya nchi zao kufikia suluhu kwa njia za kidiplomasia kupititia kamati maalumu iliyoundwa kushughulikia mgogoro huo

0 comments: