search

.

Thursday, 9 August 2012

RAIS KIKWETE AWASILI GHANA KWA MAZISHI YA RAIS ALIYEFARIKIRais Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili leo Agosti 9, 2012 katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kotoka jijini Accra, Ghana, kuhudhuria mazishi ya aliyekuwa rais wa nchi hiyo Marehemu John Evans Atta Mills anayetarajiwa kuzikwa kesho Ijumaa Agosti 10, 2012.

PICHA NA IKULU

0 comments: