search

.

Monday, 15 October 2012

ATCL YAONGEZA NDEGE MPYA

Abiria wa Ndege ya Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) wakipanda ndege hiyo katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere Dar es Salaam (DIA) kuelekea Mwanza ni ndege aina ya Boing 737 -200 ya pili katika Shirika hilo kwa mwaka huu.
Abiria wakishuka katika ndege ya Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) kwenye Uwanja wa Ndege wa Jijini Mwanza wakitoka Dar es Salaam, ndege hiyo aina ya Boing 737 -200 ya pili katika Shirika hilo kwa mwaka huu.

0 comments: