search

.

Monday, 8 October 2012

KAMPENI ZA URAISI KENYA ZAPAMBAMOTO


Kampeni za kuwania urasi nchini kenya zinazidi kushika kasi huku wagombea kutoka vyama vitatu wakijaribu kutafuta nguvu ya pamoja kupambana na chama cha ODM kinachoongozwa ana Waziri Mkuu wa sasa Bwana Raila Odinga jambo linalowaacha wafuasi wa vyama hivyo kwenye mzozo mkubwa wakizozana juu ya uhalali wa mgombea mmoja mwenye nguvu kupewa nafasi ya kusimama na Bwana Odinga, jambo linalopelekea kuwepo kwa machafuko ya hapa na pale katika mitaa ya jiji la Nairobi.

0 comments: