search

.

Wednesday, 17 October 2012

KWA WANAFUNZI SIKIENI HII

Tofauti na ilivyo kwa wanafunzi wengi ambao hushindwa kutumia muda wao wa ziada kufanya mambo mengine yanaowasaidia kwenye maisha yao ya kila siku mwanafunzi huyu kutoka chuo kikuu cha Mt Kenya anaweza kuwa somo tosha kwa wanafunzi wengi fuatilia kupitia kipindi hicho cha mgaagaa na upwa kutoka runinga ya Citzen.

0 comments: