search

.

Tuesday, 9 October 2012

MAJAMBAZI YAKAMATWA KWA CCTV

Majambazi kadhaa, walinaswa kupitia kamera za usalama wakifanya wizi katika kibanda kimoja cha M-pesa katika mtaa wa ngara hapa jijini Nairobi. Ajabu mi kuwa majambazi hao walimpiga risasi mmoja wa wahudumu wa kibanda hicho kabla ya kutekeleza wizi huo. Aidha imebainika kuwa wezi hao wanalenga maduka ya M-pesa kwani, mengi hayana ulinzi wa kutosha kama ilivyo kwenye idara zingine za fedha.

0 comments: