search

.

Wednesday, 10 October 2012

WIKI YA HUDUMA ZA KIFEDHA NA UWEKEZAJI YAANZA RASMIAfrisa Mauzo wa CRDB Lucy Ruwaeka (kulia) akitoa maelekezo kwa baadhi ya wateja waliotembelea banda hilo na kupata huduma mbalimbali.
Mmoja wa wateja akipata maelekezo kutoka kwa mtoa huduma wa banda la maonyesho la CRDB Bw. Daisile Onyari-ISO.
Pichani Juu ni Mwalimu Neema Mbega kutoka Prescoce-Vikoba akitoa mafunzo kwa wajasiria mali na Chini ni Bw. Abdul Ally kutoka Tanzania Consumers Advocacy Society (TCAS)akifafanua jambo wakati wa mafunzo kwa wajasiria mali hao.

0 comments: