search

.

Tuesday, 16 October 2012

DKT BILAL AFUNGUA MKUTANO MKUU WA VIONGOZI


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati akifungua rasmi Mkutano Mkuu wa mwaka wa Viongozi wa Takukuru, uliofanyika katika Ukumbi wa Mlimani City, jijini Dar es Salaam, leo. Mkutano huo unatarajiwa kumalizika kesho.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiteta jambo na Waziri wa Katiba na Sheria, Mathias Chikawe, wakati Makamu alipofika kufungua rasmi Mkutano Mkuu wa mwaka wa Viongozi wa Takukuru, uliofanyika katika Ukumbi wa Mlimani City, jijini Dar es Salaam, leo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipokea zawadi kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Takukuru, Edward Hosea, mara baada ya kufungua rasmi Mkutano Mkuu wa mwaka wa Viongozi wa Takukuru, uliofanyika katika Ukumbi wa Mlimani City, jijini Dar es Salaam, leo.
Sehemu ya washiriki wa mkutano huo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza jambo na Mkurugenzi Mkuu wa Takukuru, Edward Hosea, nje ya Ukumbi wa Mlimani City, mara baada ya kufungua rasmi Mkutano Mkuu wa mwaka wa Viongozi wa Takukuru, uliofanyika katika Ukumbi wa Mlimani City, jijini Dar es Salaam, leo. Mkutano huo unatarajiwa kumalizika kesho.
Makamu, akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya washiriki wa mkutano huo, baada ya ufunguzi.

0 comments: