search

.

Tuesday, 16 October 2012

SURA HALISI YA CHADEMA UGHAIBUNI HII HAPA


Mc wa shughuli kamanda Prudence Kahatano akikaribisha wadau na kufungua mkutano
Mgeni kutoka Tanzania Mh. Ezekiel Wenje akimwaga sera wakati wa mkutano wa CHADEMA UK uliyo fanyika jini London mwaishioni mwa mwaiki iliyopita.
Mgeni mwingine kutoka Tanzania kamanda Makelele katibu mwenezi CHADEMA Moshi akimwaga sera.
Katibu Mkuu wa Baraza la vijana CHADEMA (BAVICHA) akiongea machache
 
Makamanda wakifuatilia mkutano kwa makini
Makamu Katibu Mwenezi wa CHADEMA UK Dr. John Lusingu akimwaga sera zake na kutoa hoja zake
Mkutano ukiendelea
Mmoja wapo wa Think Tanker na MC wa tukio wa CHADEMA UK akifuatilia mkutano
Mama Jessica Moshi Mwenyekiti wa BAWACHA UK akifuatila mkutano
Dr Alex Paurine Mweka Hazina wa CHADEMA UK akimwaga sera
Wakina mama wakiufutailia mkutano kwa makini
Mkurugenzi wa Computers for Africa Kamanda Asseri Kasanga akimwaga sera
Wadau wakifuatilia mkutano kwa makini
CHADEMA UK ilipata wanachama wapya na picha ni ni mwanachama mpya kipokea kadi yake. Mwanachama mpya wa CHADEMA UK akipeana mkono na Mh. Ezekiel Wenje
Mh. Wenje akimpa mkono mwanachama mpya na kumkaribisha kwenye chama
Kamanda Ndibalema akipokea kadi yake ya uanachama
Mwanachama mpya akifurahia kadi yake
Makumu Mwenyekiti wa CHADEMA UK Apostle Matthew akifunga mkutano huo kwa kuwashukuru wadau walio jitokeza na kuongea machache.
Makamanda wakiwa katika picha ya pamoja

0 comments: