search

.

Wednesday, 10 October 2012

MADAWA YA KULEVYA YANAVYOIMALIZA ZANZIBAR

Licha  ya kuwepo kwa  shinikizo kutoka  taasisi nyingi za Serikali na  zisizo za kiserikali juu ya  vijana  kuachana  na tabia  ya utumiani wa  mihadarati, lakini imeonekana  kuwa shinikizo hizo si  lolote kwa vijana  wengi  wenye  umri wa miaka 15-30 katika visiwa vya  Zanzibar sehemu ambayo inadaiwa kuwa ndiyo lango kuu la kusafirishwa  kwa mihadarati hiyo kwenda  ughaibuni

Eddy Kunoh ni mmoja wa  vijana  ambao sehemu kubwa  ya maisha  yake ameitumia  katika utumiaji wa dawa hizo huku pia  akipata nafasi ya kusafiri kwenda nchi mabalimbali kuuza madwa ya kulevya

SIKILIZA  HAPA CHINI  SEHEMU YA MAHOJIANO ALIYOFANYA  HIVI KARIBUNI

0 comments: