search

.

Wednesday, 10 October 2012

RAIS KIKWETE AMUAPISHA MKUU MPYA WA JESHI LA MAGEREZA


Mkuu mpya wa Jeshi la Magereza nchini, Kamishna Jenerali John Casmiri Minja akila kiapo mbele ya Amiri Jeshi mkuu Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete Ikulu jijini Dar es Salaam 
Mkuu mpya wa Jeshi la Magereza nchini, Kamishna Jenerali John Casmir Minja,akipokea miongozo ya kazi kutoka kwa Amiri Jeshi Mkuu,Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete wakati wa hafla ya kuapishwa iliyofanyika ikulu jijini Dar es Salaam 

0 comments: