search

.

Wednesday, 10 October 2012

MGIMWA ALISHAURI SHIRIKA LA FEDHA LA KIMATAIFA


Gavana wa Benki Kuu Prof. Benno Ndulu akisikiliza kwa makini mkutano wa IMF pamoja na maofisa waandamizi Bw. Omary Khama na Bw. Msafiri Nampesya Jijini Tokyo – Japan.
Waziri wa Fedha Mhe William Mgimwa akitoa maelekezo kwa Msemaji wa Wizara ya Fedha Bi. Ingiahedi Mduma, Kamishina Msaidizi wa Fedha za Nje Bw. Jerome Bureta na Afisa mwandamizi Bw. Omary Khama Jijini Tokyo-Japan.
Mhe Waziri wa Fedha Mhe. William Mgimwa akiwa na Maafisa waandamizi wa wizara ya Fedha Bw. Omary Khama na Bw. Cyprian Kuyava Jijini Tokyo – Japan.
Mhe Mgimwa akitoka kwenye mkutano na ujumbe alioambatana naye katika Mikutano ya IMF Jijini Tokyo- Japan.
Waziri wa Fedha Mhe. William Mgimwa akijadiliana na Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania Bw. Harry Kitilya, Mkurugenzi Utafiti Uchumi na Sera Dk.Joseph Leina Masawe wa Benki Kuu ya Tanzania, Ofisa Mwandamizi Bw. Omary Khama na Bw. Cyprian kuyava wa Wizara ya Fedha baada ya mikutano hiyo ya IMF kwa siku ya leo hapa Jijini Tokyo- Japan.
Mhe. William Mgimwa akiwa na mtangazaji wa Shirika la NHK-SWAHILI Bi Anna Kwamba awali alikuwa (TBC) baada ya kumaliza mahojiano na Mhe. Waziri juu ya faida za mikutano ya IMF kwa wananchi wa Tanzania hapa Jijini Tokyo – Japan.

0 comments: