search

.

Friday, 12 October 2012

WAISLAM WENYE SIASA KALI WAVAMIA KITUO CHA POLICE MBAGALA


PICHA NA 
GERLAD KIMANGA 
MS CORNER


 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
Waislam wenye itikadi kali wavamia kituo cha police mbagala KIZUIZ NIwakidai wanamuitaji
mshitakiwa wao haliyekamatwa leo asubui kwa kitendo cha kumnyang'anya binti msaafu na kukojolea leo asubui. kwa kitendo hicho kiliwalazimu police kuwatawanya watu kwa kutumia mabom ya machozi kitendo ambacho kime asili mwenendo wa masomo kama tunavyo ona katika picha wanafunzi wakilia. 
PICHA NA 
GERLAD KIMANGA 
MS CORNER

0 comments: