search

.

Wednesday, 10 October 2012

WAZIRI WA HABARI WA ZANZIBAR KUKUTANA NA BALOZI WA UINGEREZA Baadhi ya Watendaji wa Wizara ya Habari Utamaduni Utalii na Michezo wakimsikiliza Balozi wa Uingereza nchini Tanzania Diane Conr ner(hayupo pichani)alipokutana na Waziri wa Habari wa Zanzibar hapo Afisini kwake Kikwajuni.
-
 Waziri wa Habari Utamaduni Utalii na Michezo Saidi Ali Mbarouk wamwanzo kulia akifanya mazungumzo na Balozi wa Uingereza Nchini Tanzania Diane Conr ner kuhusiana na mambo mbalimbali ya Michezo na maendeleo ya Digital hapo Afisini kwake Kikwajuni Zanzibar.
PICHA NA YUSSUF SIMAI-MAELEZO ZANZIBAR.

0 comments: